Serikali kupitia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mheshimiwa Ummy Mwalimu imetoa taarifa kwa umma kuhusu mwenendo wa ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ulioikumba nchi ya China na mataifa mengine duniani.
Bofya hapa kusoma taarifa kamili: Taarifa ya Serikali kuhusu CORONA
Chanzo: afyablog.moh.go.tz/
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.