• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali yawapandisha madaraja watumishi 70,437, Bilioni 300 zatengwa kulipa mishahara mipya

Imewekwa tarehe: June 22nd, 2021

SERIKALI imewapandisha madaraja watumishi wa umma 70,437 nchini huku ikitenga shilingi Bilioni 300 kwa ajili ya mishahara mipya itakayoanza kulipwa kuanzia mwezi Juni 2021.

Hayo yamebainishwa jana Juni 21,2021 Jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohammed Mchengerwa wakati akifungua kikao kazi cha wakuu wa Idara wa Utawala na Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma.

Mhe. Mchengerwa amesema kuwa taratibu zote za upandishaji zinaendelea na watumishi hao waliopanda vyeo watapata mshahara wa mwezi huu kulingana na madaraja yao waliyopandishwa.

'Watumishi 70,437 waliopandishwa madaraja, jumla ya shilingi Billioni 300 Rais wetu mama Samia Suluhu Hassani ametoa kwa ajili ya kuwapatia mishahara mipya inayoanza kulipwa mwisho wa mwezi huu,” alisema Waziri huyo.

Waziri amesema kuwa watumishi 11,983 wenye malimbikizo serikalini watalipwa malimbikizo ya mishahara yao kwani wamekuwa wakiendelea na uchunguzi na kupitia madai yao.

“Serikali imetenga Sh. 23,781 bilioni kuhakikisha wanawalipa malimbikizo watumishi hao ambapo ofisi yake imeshafanya uchunguzi na kujiridhisha kwamba ni kweli wanadai malimbikizo yao”

Waziri Mchengelewa amesema kuwa Rais ameshatoa fedha hizo hivyo malimbikizo ya watumishi hao nao watalipwa mwisho wa mwezi huu.

Hata hivyo amesema kuwa Rais Samia ameshatoa kibali cha kupandisha madaraja watumishi 91,841 hivyo watumishi wote wenye sifa ya kupandishwa madaraja watapandishwa na kupewa haki yao.

Pamoja na Serikali kutimiza wajibu wake kwa watumishi hao ikiwamo kuwapandisha madaraja na kulipa malimbikizo yao serikali inawakumbusha watumishi kuendelea kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na vinginevyo watachukuliwa hatua.

Kwa upande wake Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amesema kuwa Wakuu wa Idara wanakazi kubwa ya kuhakikisha watumishi wanaowasimamia wanatimiza majukumu yao na wajibu wao hivyo kama Maafisa Utumishi wakawe kioo kwa wanao waongoza na jamii zao kwa ujumla.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange akizungumza katika kikao kazi cha Wakuu wa Idara wa Utawala na Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma kilichofanyika jana June 21,2021 Jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Mohammed Mchengerwa (hayupo pichani) wakati akifungua  kikao kazi cha Wakuu wa Idara wa Utawala na Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma kilichofanyika leo June 21,2021 jijini Dodoma.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.