• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Serikali za Vijiji zishirikishwe katika kulea vituo vya malezi na makuzi ya mtoto

Imewekwa tarehe: April 10th, 2024

Na. Asila Twaha, OR - TAMISEMI

MKURUGENZI Msaidizi huduma za Ustawi wa Jamii, Ofisi ya Rais -TAMISEMI Bi. Subsiya Kabuje vitaka Vituo vya Malezi na Makuzi ya Mtoto kuhakikisha vinashirikisha viongozi wa Serikali ya Kijiji katika kuleq vituo hivyo vinavyomilikiwa na jamii.

Ameeleza hayo  ikiwa ni muendelezo wa ziara akiwa ameambatana na wataalum kutoka TAMISEMI, Wizara Maendeleo ya Jamii, na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma ya kukagua vituo vya malezi na makuzi ya watoto katika Halmashuri ya Wilaya Chamwino mkoani Dodoma.

Bi. Kabuje amesema Serikali ya Kijiji ikishirilishwa ipasavyo itasaidia kuangalia na kusimamia vituo ambavyo vimejengwa katika shule za msingi vikiwa na lengo la kuwarahisishia watoto wa eneo husika kuzoea mazingira ya shule.

Pia ameongeza kwa Ushirikiano huo ukiwa madhubuti italua rahisi kwa pamoja kuangalia namna ya kushirikiana kutunga sheria wa kuwaongoza katika kuchangia chakula cha watoto wanaolelewa katika vituo hivyo.

Aliongeza kuwa azma ya Serikali ni kuendeleza vituo hivyo hasa katika kuangalia malezi,makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto katika kumjengea maadili mazuri na kumuepusha na changamoto zinazoweza kuzuilika hasa katika suala la kuzuia vitendo vya ukatili

Naye Mwenyekiti wa Kijiji cha Chamwino Ikulu Peter Simba amesema watarndelea kusimamia vituo hivyo sababu vinamanufaa kwa watoto na wazazi huku akishauri Serikali kuangalia wa kuwalipa posho walezi wanaosimamia vituo hivyo ili wawe na ari ya kuendelea kuvisimamia na kutoa huduma kwa watoto.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.