• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Shilingi milioni 700 kujenga madarasa 100, Dodoma imo

Imewekwa tarehe: July 25th, 2019

Serikali imelipongeza shirika lisilo la kiserikali la Children in Crossfire kwa mkakati wake wa kujenga madarasa ya elimu ya awali 100 katika mikoa ya Mwanza, Morogoro na Dodoma katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Pongezi hizo zimetolewa jana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mwita Mwikwabe Waitara katika kijiji cha Magaka, wilayani Misungwi (19/07/2019) wakati akizindua mojawapo kati ya madarasa manne ya elimu ya  awali kati ya madarasa 30 yanayojengwa katika wilaya za Misungwi na Ukerewe mkoani Mwanza.

Mhe.Waitara amesema kuwa kujengwa kwa madarasa hayo ya awali kutachochea ari ya watoto wanaojiunga na elimu ya awali kupenda kusoma na hivyo kupunguza utoro katika maeneo yanakojengwa madarasa hayo.

“Kama madarasa yenyewe ni yale tunaamini mikoa ya Mwanza katika wilaya za Misungwi na Ukerewe, pamoja na mikoa ya Dodoma na Morogoro inapaswa kuja kuongoza kwa taaluma ambayo wanaipata, na tunaamini kuwa watoto wataokuja kusoma katika madarasa haya watakuwa na uwezo mkubwa wa kimasomo,” amekazia.

Amesema madarasa hayo ni ya mfano kwani siyo tu yanaongea, bali pia yanacheka na kutabasamu kwani kona zote za madarasa hayo zimesheheni zana mbalimbali za kujifunzia zinazomuwezesha mtoto siyo tu ajifunze kwa urahisi bali pia apende shule kutokana na kuwa na rangi za kuvutia.

“Hili darasa kama mlivyoona, nimekutana na madarasa yanayoongea lakini hili darasa linaongea, kutikisika na kucheka, na tabasamu linaongezeka,” amesema Waitara.

“Sasa nilikuwa napiga picha ya madarasa yanayoongea ambayo niliwahi kuonyeshwa pamoja na haya hapa, hongereni sana haya yametia fora.”

Akizungumzia kuhusu mafanikio yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa sera ya mafunzo ya elimu ya mwaka 2014, Naibu Waziri amesema kuwa  kumekuwa na ongezeko la watoto wanaojiunga na elimu ya awali kutoka milioni moja mwaka 2015 hadi watoto milioni moja na nusu mwaka 2016.

Aidha Mhe.Waitara ameziagiza halmashauri kuhakikisha kuwa kila zinapojenga shule za msingi pia zinapaswa kuweka bajeti kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ya awali.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkazi wa shirika la kimataifa la Children in Crossfire bwana Craig Ferla amesema kuwa shirika hilo katika kipindi cha miaka mitano ijayo limepanga kutumia shilingi milioni mia 700 kwa ajili ya kujenga madarasa 100 ya aina hiyo katika mikoa ya Mwanza, Morogoro na Dodoma.

Naye Mratibu wa mafunzo ya elimu ya awali kutoka shirika hilo bwana Davis Gisuka amesema kuwa mbali na kujenga madarasa hayo pia shirika lake  linawezesha kufanyika kwa mafunzo maalum kwa walimu wa shule za awali za serikali ili waweze kumudu kuwapatia elimu watoto wanaowafundisha kupitia mbinu mbalimbali za mafunzo ikiwemo matumizi ya zana rahisi za kufundishia zinazotengenezwa na walimu hao katika shule zao.

Chanzo: Tovuti ya TAMISEMI (tamisemi.go.tz)

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.