• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Simba na Dodoma Jiji kesho, mechi ya mabingwa

Imewekwa tarehe: April 26th, 2021

AFISA Habari wa Timu ya Dodoma Jiji FC, Moses Mpunga leo amefanya mahojiano na kituo cha Redio cha Wasafi FM kupitia kipindi cha michezo cha Sports Arena kuelekea mtanange wa kukata na shoka kati ya wenyeji Simba ya Jijini Dar es Salaam na timu ya Makao Makuu ya Nchi Dodoma Jiji FC, mchezo utakaopigwa kesho katika dimba la Benjamin Mkapa.

Mtangazaji maarufu Maulidi Kitenge licha ya kusifia mchezo mzuri unaoonyeshwa, alimuuliza Mpunga kutaka kujua Dodoma Jiji wanauonaje mchezo wao na Simba na nini kinachowafanya wajiamini kuelekea mchezo huo hapo kesho.

“Mechi ya kesho ni mechi ya mabingwa, Dodoma Jiji ni mabingwa wa Ligi Daraja la kwanza na Simba ni mabingwa wa Ligi Kuu msimu uliopita.

Wana ‘gold medal’ na sisi tuna ‘gold medal’, kocha wao alikuwa kocha bora na sisi wa kwetu alikuwa kocha bora, wana mfungaji bora na sisi tuna mfungaji bora kama utaangalia ligi tulizocheza msimu uliopita, timu zote mbili zilikuwa mabingwa.

Kwa hiyo itakuwa mechi ya mabingwa, na itakuwa mechi nzuri. Watu wajitokeze kwa wingi hasa wapenzi na mashabiki wetu kutoka Dodoma na maeneo mengine, tunakwenda kuwashangaza Watanzania. Sisi huwa hatufungwi mara mbili” amejinasibu Ofisa Habari wa Dodoma Jiji FC.

Aidha, akifafanua zaidi Mpunga alisema kuwa Dodoma Jiji FC wanajiamini na hawajichukulii kama timu ndogo ambayo imepanda Ligi Kuu bali wanajiona kuwa ni moja ya timu bora inayotafuta nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi kuu, pili alisema kuwa wana kocha bora na wachezaji wenye uzoefu ambao wanatambua wajibu wao na kusisitiza kuwa timu ina menejimenti ambayo inafanya kazi kwa weledi mkubwa katika kutimiza majukumu yake ya kiuongozi.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.