• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Takwimu za matokeo ya sensa kurahisisha utoaji huduma kwa wakulima

Imewekwa tarehe: November 29th, 2022

NAIBU WAZIRI wa Kilimo Mh. Anthony Mavunde amepongeza zoezi la sensa ya watu na makazi mwaka 2022 kwa kutoa takwimu za idadi ya wakulima katika maeneo mbalimbali kuanzia ngazi ya kitongoji na hivyo kuirahisishia kazi serikali katika kuwafikishia wakulima hao huduma za msingi.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo jana katika viwanja vya stendi ya zamani Manispaa ya Singida akimuwakilisha Waziri wa Fedha Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba wakati wa maadhimisho ya siku ya TAKWIMU AFRIKA yaliyobeba kauli mbiu ya matumizi sahihi ya takwimu za kilimo ili kuboresha sera za uhimilivu wa kilimo,lishe na usalama wa chakula Afrika.

“Takwimu hizi juu ya idadi ya wakulima,umri,jinsi na mazao wanayozalisha inatupa nafasi serikali kusogeza huduma za msingi za kilimo kwa wakulima kwa kuzingatia mahitaji ya maeneo husika.

Mh Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo juu ya usajili wa wakulima wote nchini kwa lengo la kuhakikisha tunapata takwimu sahihi za wakulima,na sisi wizara ya kilimo tumeendelea na zoezi hilo la usajili wa wakulima kwa lengo la kuwasajili wakulima zaidi ya Milioni 8 kwa mwaka huu wa fedha.

Hivyo Wizara ya kilimo itakaa pamoja na Ofisi ya Taifa ya Takwimu kwa ajili ya kutumia taarifa za pamoja za awali juu ya idadi ya wakulima na kuongeza kipengele muhimu cha kuonesha eneo shamba lilipo na ukubwa wake kwa kutumia vipimo mahsusi” Alisema Mavunde.

Akitoa maelezo ya awali,Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa amesema zoezi la sensa ya watu na makazi 2022 liliweka bayana kipengele cha kutambua shughuli za uzalishaji mali zinazozofanywa na wananchi ili serikali iweze kuweka mipango na mikakati madhubuti ya kukuza sekta kiongozi za uzalishaji mali za kilimo na ufugaji.

Akizungumza katika mkutano huo,Mkuu wa Mkoa wa Singida Mh. Peter J. Serukamba ameshukuru kwa Ofisi ya Taifa ya Takwimu kufanyia maadhimisho hayo mkoani Singida,na kuahidi kwamba takwimu za shughuli za uzalishaji mali mkoani Singida watazitumia vizuri ili kuleta matokeo chanya kwenye kilimo hasa cha alizeti ambapo mwaka huu wa fedha wametenga takribani ekari *650,000* kwa ajili ya kilimo cha Alizeti.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.