• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

TANESCO kuboresha ufanisi kupitia mageuzi ya kidijitali

Imewekwa tarehe: November 9th, 2021

SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limegeukia fursa kuboresha ufanisi kwa kutumia digitali, baada ya kusaini mkataba na Kampuni ya Tech Mahindra kwa ajili ya ujenzi wa Mfumo wa Usimamizi Rasilimali na Mipango ya Shirika (CMS). Mkataba huo umesainiwa leo, Novemba 9, 2021, Makao Makuu ya Tanesco, Dodoma.

TANESCO katika majukumu yake ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme kwa sasa inageukia fursa za kidijitali kwa kutumia wigo wa teknolojia kuboresha huduma kwa Wateja.

Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Maharage Chande alisema kusainiwa kwa mkataba huo ni muhimu ili Tanesco ifanikishe ufanisi ambao ni miongoni mwa vipaumbele 7 vya Tanesco, vipaumbele vingine ni rasilimali watu, wateja, miradi ya kimkakati, kutafuta rasilimali, mawasiliano na ushirikishaji wadau pamoja na viashiria vya hatari na utawala bora.

“Utekelezaji wa mfumo huu ni muhimu ili tufanye kazi yetu kwa ufanisi, sio tu kwa wateja wetu lakini pia kwa wafanyikazi wetu. Hii ni pamoja na kufanya shughuli zetu za msingi kuwa za kisasa na michakato yetu ya ndani kuwa rahisi, ili kuharakisha ubunifu tunaposonga mbele katika kuboresha huduma kwa wateja wetu” alisema Maharage.

"Katika kipindi cha miezi 30 ijayo, tutakuwa tukiendesha huduma zetu kidigitali, hii itatusaidia kuziona vyema rasilimali zetu na kupangilia kutokana na mahitaji. Aidha kutoa huduma yenye thamani na ubora kwa wateja wetu," aliongeza Maharage.

Mkuu wa Afrika, Tech Mahindra, Prasad Kotikela alisema, “Lengo letu ni kuongeza kwa kiasi kubwa utayari wa TANESCO kutumia dijitali katika kuhudumia vyema wateja wake na wananchi wa Tanzania”

Kwa pamoja, TANESCO na Tech Mahindra zinalenga kuboresha wepesi katika utendaji kazi wa Tanesco huku wakiboresha mapato yatokanayo na uwekezaji kupitia mageuzi yanayoongozwa na teknolojia. Mkataba huo una thamani ya Dola Milioni 30.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.