Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma anawatangazia wafanyabiashara wote kuwa muda wa kuhuisha leseni za biashara kwa kipindi cha 2017/2018 ni kuanzia tarehe 01/07/2017 hadi 21/07/2017.
Watakaolipa baada ya muda huo uliopangwa, watalazimika kulipa pamoja na adhabu (penalt).
Kwa maelezo zaidi. Bofya hapa:Wafanyabiashara Leseni 01 Julai 2018.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.