• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tanzania na Oman kushirikiana katika sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia

Imewekwa tarehe: November 25th, 2022

TANZANIA na Oman zaweka mikakati ya ushirikiano katika sekta ya Mawasiliano, Habari na Teknolojia ambapo nchi hizi mbili zinaweza kutumia vyombo vyake vya habari kuhabarisha umma katika masuala mbalimbali ya kijamii, kutangaza tamaduni na kubadilishana ujuzi wa teknolojia.

Hayo yamebainishwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye wakati alipokutana na Waziri wa Habari wa Oman Dkt. Abdullah bin Nasser bin Khalifa Al-Harassi nchini Oman.

Katika mazungumzo yao Waziri Mhe. Nape ameeleza kuwa, kutokana na mahusiano ya kihistoria ya muda mrefu kati ya Tanzania na Oman, nchi hizi zinapaswa kuhabarishwa ipasavyo juu ya undugu wa damu kati ya watu wa Oman na watanzania ili kuendelea kutunza uhusiano huo na kukubaliana kuwa Oman kupitia vyombo vyake vya habari itaitangaza Tanzania katika mataifa mengine ili kuvutia biashara, uwekezaji na utalii.

Aidha, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye ametembelea chumba maalum kinachotumika katika shughuli za uandaaji wa habari za magazeti, Radio na Televisheni kwa lengo la kufahamu uandaaji wa vipindi nchini humo.

Katika hatua nyingine, Waziri Nape amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uchukuzi, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Oman Mhandisi Saeed Bin Hamoud bin Saeed Al Maawali  huku Waziri wa Oman akiahidi kuendelea kuipa ushirikiano Tanzania katika Sekta ya Usafirishaji na Mawasiliano hususani katika masuala ya usalama mitandaoni (Cyber Security).

Vilevile Mhe. Nape alipata nafasi ya kutembelea maghala yanayomilikiwa na kampuni ya ASYAD EXPRESS na yanayotumika kutunzia bidhaa kwa ajili ya kusambaza na kuuza kwa wananchi kupitia biashara mtandao nchini Oman.

Sambamba na hilo, Mawaziri hao wawili wa Serikali ya Oman wameahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuboresha Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Usafirishaji kwa manufaa ya nchi hizi mbili.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.