• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tanzania yapongezwa kwa kutekeleza mikakati endelevu ya kudhibiti UKIMWI

Imewekwa tarehe: May 28th, 2024

TANZANIA imepongezwa kwa kuwa na mikakati yenye kulenga ustahimilivu na uendelevu wa mifumo ya afya na mwitikio wa UKIMWI ili kufikia malengo ya kitaifa na kimataifa katika kudhibiti ugonjwa huo ifikapo mwaka 2030

Hayo yamebainishwa kupitia kikao kilichowakutanisha kwa pamoja ujumbe kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Grace Magembe pamoja na viongozi waandamizi kutoka mashirika ya kimataifa ya UNAIDS, Global Fund, PEPFAR na wadau wengine wa kimataifa kwenye kikao cha kujadili jitihada zinazochukuliwa na Tanzania katika uendelevu wa Mwitikio wa kudhibiti UKIMWI ifikapo na baada ya mwaka 2030.

“Tanzania imeendelea kuongeza jitihada kuimarisha mifumo ya afya kwa kusogeza huduma za afya ikiwemo za VVU/UKIMWI karibu na wananchi kwa kujenga vituo vipya vyenye kutoa huduma za kinga, uchunguzi, tiba na utengemao” amesema Dkt. Magembe huku akiongezea kuwa Serikali imeendelea kuajiri watumishi wapya hususani katika vituo vya afya vilivyopo vijijini.

Dkt. Magembe alisema kuwa dhana ya uendelevu wa mwitikio wa UKIMWI imedhihirika kwa kuanzisha Mfuko wa UKIMWI mwaka 2001 ambapo Serikali imekuwa ikitenga fedha kila mwaka za kutekeleza afua kinga za kuzuia maambukizi mapya ya VVU.

Washirika wa Kimataifa wameipongeza Tanzania kwa jitihada za kudhibiti UKIMWI pamoja na kuongeza wigo wa vyanzo endelevu vya kuhakikisha malengo ya kudhibiti ugonjwa huo yanafikiwa ifikapo mwaka 2030.

Katika kikao hicho Dkt Magembe aliambatana na Dkt Charles Mahera, Naibu Katibu Mkuu (Afya), Ofisi ya Rais - TAMISEMI na Dkt Catherine Joachim, Mkuu wa Program, Wizara ya Afya.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.