• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tathmini ya matumizi ya vifaa vya TEHAMA kufanyika mashuleni

Imewekwa tarehe: January 15th, 2026

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa (Mb), ameagiza kufanyika kwa tathmini ya kina ya mafunzo ya matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) yaliyotolewa kwa walimu, ili kubaini uwezo halisi wa walimu katika kutumia vifaa vya TEHAMA kufundishia.

Mhe. Kwagilwa ametoa maelekezo hayo  Jijini Mbeya, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Profesa Riziki Shemdoe, wakati wa ziara yake ya kikazi ya kukagua maandalizi ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza yanayotarajiwa kuanza Januari

Mhe. Kwagilwa amesema, bado kuna changamoto kwa baadhi ya walimu, hususan wa masomo ya Sayansi kushindwa kutumia mifumo na vifaa vya TEHAMA licha ya uwepo wake mashuleni, hali inayosababisha utegemezi kwa walimu wachache wenye ujuzi, ambao mara nyingi hawashirikishi wenzao.

“Haikubaliki vifaa hivi nchi nzima viwe vya maonesho, mgeni akija anaoneshwa, mgeni akiondoka, mwalimu hajui kutumia wala mwanafunzi hajui kutumia. Yafanyike mafunzo ya kina kwa walimu wote ili wamudu matumizi ya vifaa vya TEHAMA,” amesema Mhe. Kwagilwa.

Mhe. Kwagilwa amesisitiza kuwa, hali hiyo haikubaliki na kwamba ni lazima hatua za haraka zichukuliwe kuhakikisha walimu wote wanapatiwa mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kutumia vifaa vya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji.

Ameongeza kuwa, Serikali haitavumilia kuona uwekezaji mkubwa uliowekwa katika ununuzi wa vifaa vya TEHAMA mashuleni unakosa tija kutokana na uzembe au ukosefu wa mafunzo stahiki kwa walimu ambao wanapaswa kuvitumia vifaa vya TEHAMA kufundishia, akisisitiza kuwa matumizi sahihi ya TEHAMA ni nyenzo muhimu katika kuboresha elimu.

Matangazo

  • TANGAZO LA ORODHA YA WADAIWA WA MALIPO YA VIWANJA AWAMU YA KWANZA KATIKA HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA December 29, 2025
  • Tangazo na Orodha ya Walioitwa kwenye mafunzo ya Wasimamizi, Wasimamizi wasaidizi na Makarani Jimbo la Dodoma Mjini na Mtumba October 23, 2025
  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Tumetekeleza vizuri mkataba wa lishe 2024/2025

    January 23, 2026
  • Maaafisa utumishi acheni uonevu na kutumia lugha mbaya mnapotoa huduma- Prof Shemdoe

    January 20, 2026
  • Nitazunguka nchi nzima kuteta na watumishi wa afya ngazi ya msingi - Dkt. SEIF

    January 18, 2026
  • Afya ni kada ya huruna Dkt.Seif atoa wito kwa wanafunzi Mafinga

    January 18, 2026
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Situs Toto Slot
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AXL777
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • situs toto
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • situs toto
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto 4d
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88