• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Toeni Elimu kuhusu Bima ya Afya kwa wote- Dkt. Magembe

Imewekwa tarehe: November 4th, 2022

SERIKALI imewataka wadau kutoa elimu kwa jamii kuelekea utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote nchini ili kujenga jamii yenye afya bora kwa maslahi ya wananchi wote.

Akifungua kikao kazi kati ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Afya, Mthibiti wa Bima za Afya nchini (TIRA) na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu (AFYA) Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Grace Magembe amesema suala la kuwaelimisha wananchi wote juu ya umuhimu wa kujiunga na Bima ya Afya kwa wote ni muhimu kwani litakuwa na manufaa makubwa kwao.

Dkt. Magembe amesema timu za uhamasishaji ni lazima zikatekeleza jukumu hili la elimu kwa Umma kuanzia ngazi ya Mkoa, Wilaya na Kata hadi vijiji na vitongoji au mitaa kufikia azma ya Serikali ya kutoa huduma za afya kwa wote mapema iwezekanavyo.

Kwa upande wake Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesema muswada huo ukipita na kuwa sheria wananchi wote watapata huduma zote za afya katika ngazi zote kwa usawa kwa kuwa kitita cha mafao ya huduma muhimu za afya kitakuwa ni haki ya kila wanachama aliyejiunga na Mfuko huo.

Naye Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Bw. Benard Konga amesema kuwa Serikali itaimarisha mfumo wa utambuzi kwa wananchi wasio na uwezo na kuweka utaratibu wa kupata huduma za matibabu kupitia Bima ya Afya kwa wote.

Ikumbukwe kuwa Serikali inaendelea kuratibu maandalizi ya Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ya Mwaka 2022 ambapo Muswada wa Sheria hiyo umesomwa kwa mara ya kwanza Bungeni tarehe 23 Sept, 2022 na unatarajiwa kusomwa kwa mara ya pili na ya tatu katika bunge la mwezi huu Novemba, 2022 lengo la Sheria hiyo inayopendekezwa likiwa ni kuwezesha wananchi kupata huduma bora za afya bila kikwazo cha fedha.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.