• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tuache usiri, tufunguke elimu ya UKIMWI

Imewekwa tarehe: November 28th, 2022

MKUU wa Wilaya ya Ruangwa Hassan Ngoma, ameiasa jamii kubadili mitazamo juu ya utoaji wa elimu kuhusu masuala ya UKIMWI kwa vijana nchini ili kusaidia katika mapambano ya kudhibiti maambukizi ya Virisi vya UKIMWI.

Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Vijana walishiriki katika Mkutano wa mwaka wa vijana, viongozi wa dini na wadau wanaotekeleza miradi ya vijana balehe na wanawake vijana uliofanyika katika ukumbi wa Sea View Beach Resort mkoani Lindi 

Mkuu wa Wilaya alisema wazazi na walezi hawanabidi kubadili mitazamo iliyopo juu ya vijana wao na kuamini ni wadogo hawafai kupewa elimi ya masuala ya UKIMWI bila kujua mazingira yanayowazunguka ni hatarishi.

"Tunakosea sana kuona vijana hawa ni watoto hii si sahihi, ukweli ni kwamba ni wakubwa kimatendo na mwamko wao kuhusu umuhimu wa kulinda afya zao ni mdogo sana," Mhe. Hassan

Aliongezea kuwa kukosekana kwa uwazi katika malezi umechangia kuharibu tabia za watoto kwani wameendelea kujiingiza katika matendo maovu bila wazazi kujali.

Aidha alieleza miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI kwa vijana ni Matumizi  yasiyosahihi ya simu za mikononi yanachangia ongezeko la vishawishi vya kingono kwa vijana hivyo kupelekea kuzima ndoto zao.

Aliongezea kuwa kukosekana kwa taarifa za tahadhari katika familia zetu kumewafanya vijana kutokuwa na hofu juu ya uwepo wa ugonjwa huu.

"Hali ya maambukizi imeongezeka kwetu sababu watu wamekosa hofu kuhusu madhara ya uwepo wa virusi vya UKIMWI wakijitia moyo kwa uwepo wa kinga na matumizi ya dawa za kuzuia mimba," alisisitiza Hassan

Alitoa rai kwa vijana kuchukua mikakati madhubuti ikiwemo ya kubadili mitazamo na tabia.

"Namna pekee ya kutoka hapa ni kubadili tabia, na hii ni kazi ya familia zetu na viongozi wa kidini.Viongozi wa dini waendeleee kueleimisha tuone namna ya kuvunja ukimya,"alisistiza

Pia aliongezea kuwa kuwepo na mikakati sahihi inayoendana na mabadiliko ya kiteknolojia katika mapambana haya.

"Malengo hayatatimia kama mikakati ni dhaifu, hatuwezi kuwa na njia zile zile za mapambano bila kuwa na strategies mpya zinazoendana na mabadiliko haya ya  kiteknolojia,"

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.