• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tuzo ya Mavunde, mshindi kuvuna 20m

Imewekwa tarehe: June 1st, 2023

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameanzisha Tuzo maalum ya Wajasiriamali ambayo italenga katika kuongeza wigo wa uchakataji bidhaa  za kilimo na mifugo kwa kukipatia mitambo na mashine ndogo zenye thamani ya Shilingi 20,000,000 kikundi  kimoja kitakachopitishwa na Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) kila mwaka.

Mavunde ameyasema hayo jana tarehe 30.05.2023 katika Viwanja vya Nyerere Square wakati akifunga mafunzo ya wajasiriamali mkoani Dodoma chini ya mwavuli wa Taasisi ya Wanawake na Uchumi wa Viwanda(WAUVI).

“Ninawapongeza sana WAUVI kwa mafunzo hayo yenye lengo la kuwajengea uwezo wajasiriamali wa Dodoma ili kuongeza thamani ya bidhaa wanazozalisha.

Ninaona jitihada kubwa sana za Wajasiriamali hapa Jijini Dodoma ambao naamini tukiwasaidia kwa kuwaongezea mtaji na mashine za kisasa wanaweza kupiga hatua na kuleta mapinduzi makubwa.

Tunamshukuru Mh Rais Dr. Samia S. Hassan kwa kuendelea kutengeneza fursa nyingi zaidi za kiuchumi kupitia uwekezaji mkubwa unaoendelea wa kuijenga Makao Makuu Dodoma.

Mimi kwa nafasi yangu nitahakikisha tunawasaidia wajasiriamali ambao wameshapiga hatua  na kuhitaji mitambo na mashine ndogo kukua zaidi kiuchumi.

Nitaanzisha TUZO YA MAVUNDE YA WAJASIRIAMALI ambayo lengo lake kubwa litakuwa ni kupata kikundi cha kuongeza thamani ya mazao na mifugo ambacho tutakipa mitambo na mashine ya Shilingi 20,000,000 na kukilea mpaka kukua kwake”. Alisema Mavunde.

Akitoa maelezo ya awali Mwenyekiti wa WAUVI TAIFA Bi. Rehema Mbeleke amesema mafunzo hayo kwa wajasiriamali 3,000 yana lengo ya kuwajengea uwezo wajasiriamali wa Dodoma ili kushiriki katika masoko ya ushindani wa bidhaa.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.