• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

ukarabati MV. KAZI wafikia asilimia 80

Imewekwa tarehe: November 1st, 2022

UKARABATI wa kivuko cha MV. KAZI kinachofanya safari zake kati ya Magogoni na Kigamboni  jijini Dar es Salaam umekamilika kwa  asilimia 80 ambapo mwezi ujao  kinatarajiwa kurejea kuanza kutoa huduma. Kivuko hicho kiliondolewa rasmi kwenye maji mwishoni mwa mwezi Februari mwaka huu baada ya kufikia muda wake wa ukarabati ambapo ni miaka mitatu hadi mitano tangu kianze kutoa huduma.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) Lazaro Kilahala mwishoni mwa wiki hii wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Yadi ya Songoro Kigamboni jijini Dar es Salaam ambapo kivuko hicho kinaendelea kufanyiwa ukarabati.
“Tumefanya ukaguzi wa mwisho takribani mwezi mmoja uliopita, kikubwa kilichokuwa kinasubiriwa ilikuwa ni vifaa, kwasababu ile kazi sehemu kubwa ilikuwa ni kufunga vifaa vipya vya injini, gia boksi, na mifumo mipya ya injini, kwahiyo zile kazi ambazo zilikuwa zinaweza kufanyika kabla ya vifaa hivyo ilikuwa zaidi ya asilimia themanini na zote zilifanyika ikiwemo kazi za kuondoa vipande vya bati ambavyo vimeharibika na kupiga rangi upya. Alisema Mtendaji Mkuu.

Awali Mwakilishi wa kampuni ya Songoro Marine wanaofanya ukarabati wa kivuko hicho Hamad Aweso akizungumza na waandishi wa habari amesema ukarabati wa kivuko hicho umefikia hatua nzuri na amebainisha kuwa kuna vifaa ambavyo vilichelewa kufika kwa wakati zikiwemo injini za kivuko hicho na kwa sasa vifaa hivyo vimeshafika hivyo kazi iliyobaki ni kuvifunga ili kivuko kiweze kurejea kutoa huduma. ‘’kwasasa hivi  zoezi linaloendelea ni la kufunga hizi injini na kwa hali inavyoendelea tunategemea mwisho wa mwezi wa kumi na moja zoezi zima litakuwa limekamilika na chombo kitakuwa kimekwishaingizwa majini, alimaliza mkandarasi huyo.

Kivuko cha MV. KAZI kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na tani 170 na tangia kuondolewa kwa kivuko hicho, eneo la Magogoni Kigamboni limebakia na vivuko viwili ambavyo vinatoa huduma kikiwemo kivuko cha MV. MAGOGONI na MV. KIGAMBONI ambavyo kwa sasa vinasaidiana na vivuko viwili kutoka kampuni ya Azam Marine kutoa huduma eneo hilo. 

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.