HALI ya upatikanaji dawa na vifaa tiba imeongezeka kwa kiasi kikubwa. Katika kipindi cha awamu ya sita hali ya upatikanaji wa dawa katika Halmashauri ya Jijila Dodoma imeongezeka kutoka asilimia 84.6 hadi 91 kwa dawa muhimu.
Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma, Dkt.Andrew Method anasema ongezeko hilo la upatikanaji wa dawa muhimu unatokana na ongezeko la fedha za ruzuku za ununuzi wa dawa na vifaa tiba kutoka Serikali kuu.
Sambamba na ongezeko la ukusanyaji wa mapato kutoka katika vituo vya kutolea huduma kutoka asilimia 80 mwaka 2020 hadi kufikia asilimia 116 mwaka 2022. Makusanyo hayo yamepelekea kuimarisha upatikanaji wa vifaa tiba anasema Dkt. Method.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.