• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Utoaji wa huduma za jamii unaboreshwa ili kukuza uchumi na kuleta maendeleo

Imewekwa tarehe: November 11th, 2024

Na. James Mwanamyoto, OR-TAMISEMI

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw. Sospeter Mtwale amesema, Ofisi ya Rais-TAMISEMI inaendelea kuboresha utoaji wa huduma za jamii kwa kushirikiana na wizara za kisekta ili kukuza uchumi, kuleta maendeleo na kuimarisha ustawi wa mwananchi mmoja mmoja na wa taifa kwa ujumla.

Mtwale amesema hayo leo katika Ukumbi Mdogo wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma wakati akifungua kikao kazi cha Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wizara za Kisekta kilicholenga kujadili uratibu wa mipango na bajeti kwa shughuli zinazotekelezwa na kusimamiwa katika ngazi za Halmashauri, Mikoa na Wizara za Kisekta.

“Kikao hiki ni fursa ya kujadili mipango na bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26, hivyo niwaombe mshiriki kikamilifu kwa kutoa maoni na ushauri utakaowezesha uandaaji mzuri wa mipango na bajeji kwa mwaka wa fedha ujao,” Bw. Mtwale amesisitiza.

Sanjali na hilo, Bw. Mtwale amesema kikao hicho kitasaidia kujadili na kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili Serikali katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali katika ngazi za Mikoa na mamlaka za Serikali za Mitaa.

Aidha Mtwale amewataka washiriki kuongeza ubunifu wakati wa uandaaji wa mipango na bajeti ili kutengeneza mazingira wezeshi kwa wananchi na sekta binafsi, na hatimaye kuongeza thamani ya mazao na bidhaa mbalimbali zinazozalishwa ambazo zitakuwa na bei nzuri katika masoko ya nje.

“Nitumie fursa hii kuendelea kuwakumbusha na kuwasisitiza mhakikishe kuwa, mnaandaa mipango na kutenga bajeti kwa ajili ya utekelezaji wa afua na shughuli mbalimbali katika ngazi za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa,” Bw. Mtwale amehimiza.

Naye, Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw. John Cheyo amesema lengo la kuandaa kikao cha wizara za kisekta ni kujenga mahusiano mazuri kiutendaji pamoja na kuangalia namna bora ya kusaidiana katika kutekeleza shughuli za kisekta kwa wananchi katika ngazi ya chini ambayo ni Mamlaka ya Serikali za Mitaa.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.