• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Rais Samia azindua Kampeni ya Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa

Imewekwa tarehe: October 10th, 2021

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Oktoba, 2021 amezindua Mpango wa Serikali wa Kuinua Uchumi na kukabiliana na janga la Korona, UVIKO-19 wenye thamani ya shilingi Trilioni 3.62 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango huo, Mhe. Rais Samia ameitaka Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Taasisi nyingine zitakazonufaika na fedha za mkopo wa Shilingi Trilioni 1.3 kutoka Shirika la Fedha Duniani (International Monetary Fund-IMF) kuhakikisha zinatumika katika malengo yaliyokusudiwa.

Mhe. Rais Samia amebainisha kuwa fedha hizo za mkopo wa masharti nafuu kutoka IMF zitatumika katika kutekeleza Miradi ya Maendeleo ikiwemo kuboresha huduma za jamii katika sekta ya Afya, Elimu, Utalii na Maji.

Aidha, Mhe. Rais ameitaka sekta binafsi kutumia fursa hiyo kwa kuzalisha bidhaa zitakazotumika katika utekelezaji wa miradi hiyo mfano uzalishaji wa saruji, mabati na nondo ili tusiwe na sababu ya kuchelewa kutumia fedha hizo.

Mhe. Rais Samia ameagiza miradi hiyo itekelezwe na wakandarasi wazawa ili fedha hizo ziendelee kubaki na kuzunguka katika uchumi wetu.

Aidha, amewataka Wakandarasi hao wazawa kuwajibika kwa kufanya kazi kwa ubora, umakini na ufanisi.

Katika Mpango huo ambao unatakiwa kutekelezwa ndani ya miezi 9, Mhe. Rais Samia ametaka kutumika kwa utaratibu wa manunuzi wa single source ili kupunguza urasimu katika ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa miradi hiyo.

Aidha, Mhe. Rais Samia amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba kusimamia na kuondoa urasimu wa misamaha ya kodi katika vifaa na bidhaa zitakazotoka nje ya nchi ambazo zitatumika katika Mpango huo.

Vilevile Mhe. Rais Samia amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Mkaguzi wa Hesabu za ndani kufuatilia kwa karibu matumizi ya fedha hizo ili malengo na thamani halisi iweze kuonekana.

Mhe. Rais Samia amezitaka Kamati za Bunge kuisimamia kikamilifu miradi hiyo wakati wa kuitembelea. Pia amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini pamoja na timu zao kuhakikisha wanasimamia vizuri fedha hizo ili ziweze kuleta tija katika miradi hiyo.

Aidha, Mhe. Rais Samia ameishukuru IMF kwa mkopo huo wa masharti nafuu utakaosaidia katika utekelezaji wa Mpango huo. Pia amewashukuru wadau wengine wa maendeleo wakiwemo Serikali ya China, Benki ya Dunia na Umoja wa Ulaya kwa kuonesha nia ya kuunga mkono katika utekelezaji wa mradi huo.

Katika hafla hiyo, Mhe. Rais Samia amezungumzia mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita katika kipindi cha miezi sita na kusema kuwa Miradi yote mikubwa ya kimkakati iliyoasisiwa katika Awamu ya Tano ikiwemo ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa Bwawa la kufua umeme wa Mwalimu Nyerere (Rufiji), madaraja pamoja na barabara, inaendelea vizuri na inatarajiwa kukamilika katika muda uliokusudiwa.

Vilevile, Mhe. Rais Samia amewapongeza wasanii pamoja na wanamichezo mbalimbali walioiwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa hususan Timu ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya COSAFA wanawake 2021.

Chanzo: https://blog.ikulu.go.tz/

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.