• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Vifo vya watoto wachanga vimepungua Kanda ya Kati- Rc Senyamule

Imewekwa tarehe: January 17th, 2024

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amefungua Mkutano wa Afya ya Uzazi na mtoto wa Kanda ya kati katika kupunguza vifo vya kina mama vitokanavyo na Uzazi na vifo vya watoto wachanga unaofanyika kwa siku mbili Jijini Dodoma.

Uzinduzi huo umefanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Jakaya kikwete Jijini Dodoma  ambapo amebainisha kupungua kwa vifo vya watoto wachanga na kuwataka waratibu wa Afya ya Uzazi na mtoto wa Wilaya, Mikoa na Kanda kuweka mikakati madhubuti ya kuzuia vifo vya kina mama vinavyotokana na Uzazi.

"Takwimu zinaonesha kwa Kanda ya kati vifo vya watoto wachanga vimepungua kutoka vifo 1929 mwaka 2021 Hadi 1630 Mwaka 2023, vifo vya Uzazi vimeongezeka kutoka 151 mwaka 2021 Hadi vifo 165 mwaka 2023 hivyo mtumie fursa ya Mkutano huu kujadili kwa kina sababu ya vifo hivyo ili kuweka mikakati madhubuti ya kusaidiwa kupunguza vifo hivyo.

"Nachukua fursa hii kuwaomba mtumie Mkutano huu kupanga mikakati kabambe na mahsusi ya kuboresha huduma ikiwemo kusimamia uwajibikaji wa watumishi kwa kuzingatia kauli mbiu ya Mkutano huu 'UONGOZI NA UWAJIBIKAJI NI CHACHU KATIKA KUPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NA VIFO VYA WATOTO ", amesema Senyamule

Aidha, Senyamule ameweka wazi sababu zinazochangia vifo vya Uzazi ikiwa ni pamoja na kutokwa damu nyingi mara baada ya kujifingua, kifafa cha Mimba, kupasuka kwa Mji wa Uzazi na uambukizo mkali ambapo vifo hivyo vinaweza kuzuilika hivyo ni wajibu wa kikao hicho kupanga mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo ili kupunguza na kuzuia vifo vitokanavyo na Uzazi.

Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Huduma ya Uzazi na mtoto Wizara ya Afya Dkt.Ahmed Makuhani amesema 81% ya vituo vya Afya vina majengo ya kujifungulia, wamefanikiwa kupunguza vifo vitokanavyo na Uzazi kwa 80% pia kuhakikisha wanawekeza katika Uzazi wa mpango pamoja na kuhakikisha watoto wa like wenye umri wa Miaka 14 wanapatiwa chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi kwa 90%.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.