• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Vijana changamkieni Fursa zitolewazo na Serikali- Kunambi

Imewekwa tarehe: October 29th, 2022

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi amewataka Vijana nchini kuchangamkia fursa zinazotelewa na serikali kwa lengo la kutatua suala la Ajira nchini.

Katambi ameyasema hayo leo, tarehe 28 Oktoba, 2022 wakati wa Kongamano la Vijana kuhusu fursa zinazotelewa na Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu.

Katambi amebainisha kuwa kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana Ajira na Watu Wenye Ulemavu, tayari Mhe. Rais Samia ametoa shilingi bilioni 1, ambapo kwa sasa kijana anaweza kukopa Kwa masharti nafuu akiwa peke yake badala ya kulazimika kuwa katika kikundi.

"Kuimarika kwa usimamizi wa mikopo ya asilimia 4 ya vijana inayotokana na mapato ya Halmashauri ni Moja ya hatua zilizofanywa na Rais Samia kwa lengo kuwakwamua Vijana Kiuchumi " 

Aidha, Mhe. Katambi amefafanua kuwa serikali inaendelea kutoa fursa za Mafunzo ya kuwajengea ujuzi vijana kupitia vyuo vya Elimu na vyuo vya mafunzo ya stadi na programu za kukuza ujuzi.

Ameongeza kuwa Halmashauri zote nchini zimeagizwa kutenga maeneo kwa ajili ya shughuli za kiuchumi, tayari maeneo yametngwa yenye ukubwa wa ekari 217,882.36 katika Mamlaka ya Serikali za mitaa 111, kwa ajili ya uwekezaji, wafanyabiashara wadogo na Watu Wenye Ulemavu katika kundi la vijana.

Aidha, Katambi amesisitiza kuwa serikali inatambua mchango wa Vijana katika kujenga Uchumi, hivyo amewasihi Vijana kuchangamkia fursa zinazotelewa na serikali na kufanya kazi kwa bidii.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.