• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Viongozi Soko la Machinga Dodoma wasimamishwa kupisha uchunguzi

Imewekwa tarehe: September 24th, 2024

VIONGOZI wa soko la wazi la Machinga lililopo Mtaa wa Kitenge, Kata ya Majengo katika Jiji la Dodoma, wamesimamishwa uongozi kupisha uchunguzi kutokana na kudaiwa kutenda makosa ya kiuongozi na kijinai kwa wafanyabiashara wa soko hilo.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule alipokua akitatua kero za wafanyabiashara wa soko hilo katika Mkutano wa hadhara aliouitisha ndani ya soko hilo.

Wafanyabiashara hao, walipata fursa ya kutoa kero zao mbele ya Kiongozi huyo lakini kubwa zaidi ni lawama walizotupiwa viongozi wa soko ambao ni Mwenyekiti na Meneja kwa kuuza vizumba kinyume na taratibu pia kughushi barua za Mkurungenzi wa Jiji pamoja na vitambulisho vya wajasiriamali.

"Zipo tuhuma za kiuongozi lakini nyingine za jinai kama kufoji vitambulisho na barua. Hatuna uhakika mpaka uchunguzi ufanyike. Wakati uchunguzi unafanyika Mwenyekiti na Meneja wasimamishwe kwani wameonekana katika sehemu kubwa ni sehemu ya tatizo." Ameagiza Mhe. Senyamule.


Hata hivyo, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri, alisema awali aliunda timu ya uchunguzi ikiongozwa na Kamishna wa TAKUKURU Wilaya kutokana na kero za wafanyabiashara hao alipowasikiliza awali na ilikua na mapendekezo kadhaa ikiwemo kwenye ulipaji ushuru wa siku.


"Kwenye suala la ulipaji ushuru wa soko, Tume ilipendekeza wafanyabiashara wote wasajiliwe kwenye Mfumo na kulipa mara moja au mbili kwa mwezi lakini wapewe control number ya malipo ili yaende moja kwa moja kwenye mfuko wa Serikali na sio mfukoni kwa mtu". Amesema Mhe. Shekimweri.


Naye Mkurungenzi wa Jiji la Dodoma Dkt. Fredrick Sagamwiko, amesema ofisi yake ipo mbioni kukamilisha Mfumo mpya wa uendeshaji wa soko ambao unatarajiwa kuanza mapema mwezi Oktoba ambao utakwenda kutatua kero zote za wafanyabiashara hao na kuanzia Septemba 17, 2024, wataanza uhakiki wa kupata idadi kamili ya wafanyabiashara wenye vizimba katika soko hilo.

Soko la Machinga Jijini Dodoma, lilianza kujengwa mwaka 2022 kufuatia agizo la Rais wa Tanzania kutaka wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wapatiwe eneo maalum la biashara ili kuweka safi jiji

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.