• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA JUMUISHENI AFUA ZA KIFUA KIKUU NA UKOMA WAKATI WA AFUA NYINGINE

Imewekwa tarehe: November 22nd, 2023

Na. WAF - Dar es Salaam

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wanganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanajumuisha huduma za Kifua Kikuu na Ukoma kwenye shughuli zao wanazotekeleza ili kuongeza nguvu za kudhibiti Magonjwa hayo ifikapo Mwaka 2030.

Dkt. Mollel alisema hayo leo Novemba 22, 2023 kwenye Mkutano mkuu wa Mwaka wa wataalamu wa Kifua kikuu na Ukoma uliofanyika Mkoani Dar es Salaam huku akisisitiza hatari ya kuambukizwa kwa Zaidi ya watu laki nne kwa mwaka.

"Naagiza waganga wakuu wa Mikoa na Wilaya katika shughuli zenu mjumuishe Ukoma na Kifua Kikuu, nikienda kila mkoa nitaangalia ni namna gani waratibu wa mikoa na wilaya wanavyoshirikishwa kwenye shughuli zinazofanyika kwa rasilinali hizo hizo zilizopo”. Amesema Dkt. Mollel

Pia, Dkt. Mollel amesema kwa takwimu za Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Kifua kikuu na Ukoma, mgonjwa mmoja wa kifua kikuu ambaye hakupata matibabu anauwezo wa kuambukiza watu 15 hadi 20 kwa mwaka mmoja.

“Kutokana na wagonjwa 27,033 wenye maambukizi ya Kifua Kikuu kutopatikana kuanza tiba ya ugonjwa huo, kuna hatari ya watu 407,225 kuambukizwa kifua kikuu ndani ya mwaka mmoja” Alisema Dkt. Mollel

Akieleza mikakati ya kutokomeza Kifua kikuu nchini, Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk John Jingu kupitia taarifa yake iliyosomwa na mwakilishi wake Catherine Joachim amesema Tanzania imewekewa lengo na Umoja wa Mataifa kutokomeza maambukizi ya kifua kikuu kufikia 2030

"Lengo ni asilimia 90 ya walioanzoshiwa dawa wawe wamepona hapa asilimia 95 tuliowaanzishia dawa wamepona, na tumepunguza vifo kwa asilimia 69 ya lengo la asilimia 90 tuliyojiwekea,"alisema.

Lengo la kujumuisha magonjwa ya Kifua kikuu na Ukoma kwenye shughuli zinazofanywa na waganga wakuu mikoa na wilaya ni kuendelea kuibua wagonjwa wa kifua kikuu ambao bado hawajaanza tiba

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.