WIZARA ya Afya imesema wagonjwa wapya wawili (Watanzania) wamethibitika kuwa na COVID-19 jijini Dar es Salaam, na mmoja kutokea Zanzibar na hivyo kufanya jumla ya wagonjwa waliothibitika nchini mpaka sasa kufikia 6. Watanzania hao walirejea nchini Machi 14 na 17 mwaka huu.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.