• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wahazini na Wahasibu watakiwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na kudhibiti upotevu wa fedha

Imewekwa tarehe: August 18th, 2023

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amewataka Wahazini na Wahasibu wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kusimamia ukusanyaji wa mapato na kudhibiti upotevu wa fedha katika maeneo yao ya kazi ili kuiwezesha Serikali kupanga na kutekeleza malengo yake katika miradi ya maendeleo.

Kairuki alotoa wito kwa wahazini na wahasibu wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa katika kikao kazi cha Ukaguzi wa Hesabu za Mwisho wa Mwaka wa Fedha 2022/23 kilichofanyika jijini Dodoma.

Akielezea umuhimu wa ukusanyaji wa mapato katika kupanga na kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye sekta ya afya, elimu na miundombinu kwa lengo la kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, Mhe. Kairuki amewahimiza maafisa hao kusimamia vyanzo vipya vya mapato vilivyoainishwa ikiwa ni pamoja na kuzuia mianya ya upotevu wa fedha.

"Wapo baadhi ya maafisa wanakengeuka kimaadili lakini kama Serikali tutendelea kuhimiza uadilifu ili watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia Kanuni, Sheria, Taratibu na Miongozo iliyopo," Mhe. Kairuki amesisitiza.

Ili kudhibiti upotevu wa mapato, Kairuki ameagiza viongozi wenye dhamana ya kuteua mawakala kuzingatia vigezo na sifa stahiki ili kuwapata makawala watakaosimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato niaba ya Halamashauri.

Aidha, ameelekeza ukaguzi wa mashine za kukusanyia mapato ili kubaini ambazo hazifanyi kazi vizuri katika ukusanyaji wa mapato na kuchukua hatua stahiki.

Sanjari na hilo, amewataka Makatibu Tawala Wasaidizi Idara ya Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi (MMI) kuhakikisha wanasimamia hesabu zinafungwa vizuri ili kuepuka hoja za ukaguzi.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.