• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wakuu wa Wilaya Mkoaa wa Dodoma wakabidhiwa magari

Imewekwa tarehe: July 18th, 2024

MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amefanya hafla fupi ya kukabidhi Magari kwa Wakuu wa Wilaya za Chemba, Kondoa na Mpwapwa leo Julai 18, 2024 hafla iliyofanyika katika Ofisi yake iliyopo Jengo la Mkapa Jijini Dodoma.

Mhe. Senyamule amesema, Mkoa unaendelea kuona namna Mikakati ya Nchi inavyotekelezwa ikiwa ni pamoja na kutatua kero za wananchi na ndio sababu kuu ya ugawaji wa vitendea kazi hivyo kwa Wakuu wa Wilaya ambao hawakua navyo ili kuendeleza kazi za Serikali na kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi.

“Ni hali isiyo ya kawaida na ya kipekee kuona Mkoa unapata magari zaidi ya moja ili kurahisisha kazi ya kuifikia Miradi na kuwatembelea wananchi ili kutatua kero na changamoto zao kama azma ya Mkoa inavyosema “kero yako wajibu wangu” hivyo nendeni mkaitekeleze azma hiyo kwa kuwafikia wananchi na kusimamia miradi kwa ubora.

“Baada ya kupata magari haya Sasa nina imani miradi itaisha kwa wakati na ubora uliotarajiwa. Ni matamanio ya Rais mufike kila kijiji, Kitongoji na Kata kwenda kuongea na wananchi na kutatua kero zao na zaidi kusema kazi nzuri anayofaifanya. Tunafahamu matumizi ya usafiri huu yana taratibu na miongozo yake na kufuata matumizi kama ilivyoelekezwa hivyo magari haya yatumike kwa ajili ya kazi iliyokusudiwa” Amesema Mhe. Senyamule.

Kwa upande wake, Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar K.Mmuya amesema madereva wote waliokabidhiwa magari hayo, wayatunze na kuandika mwenendo wake ikiwa ni pamoja na matumizi yake ambayo ni kwa ajili ya Serikali na si vinginevyo.

Vile vile, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mhe. Sophia Kizigo kwa niaba ya wakuu wa Wilaya hao, amesema usafiri huo utawawezesha katika kazi zao za kutembelea miradi na kusikiliza kero. Hivyo kama Kiongozi atahakikisha magari hayo yatarudi yakiwa kwenye hali nzuri kama walivyoyapokea.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.