• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Wasanii kusherehesha uzinduzi kuhusu Sensa

Imewekwa tarehe: September 13th, 2021

Na. Dennis Gondwe, DODOMA

MSANII maarufu nchini Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinums kusherehesha tukio la uzinduzi wa mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022.

Akiongea na waandishi wa Habari ofisini kwake usiku huu, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri alisema kuwa tukio hilo la kihistoria litafanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini hapa.

Shekimweri alisema “uzinduzi wa mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 utafanyika kesho tarehe 14 Septemba, 2021 katika uwanja wa Jamhuri. Mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan”.

Mkuu huyo wa Wilaya alisema kuwa tukio hilo litashereheshwa na wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya akiwepo Diamond Platnums anayetarajiwa kuwasiliki kesho asubuhi na kuingia uwanjani moja kwa moja. Wasanii wengine aliwataja kuwa ni Ben Paul, Bushoke na Moni Centrozone. “Kwenye taarifa ya awali mlijulishwa kuwa kutakiwa na vikundi vya burudani, ngoma, kwaya na wasanii wa kizazi kipya watakuwepo. Wasahii kama Ali Kiba, Nandy na wengine wengi watakuwepo” alisema Shekimweri.  

Akiongelea maandalizi ya tukio hilo, alisema kuwa maandalizi yamekamilika. “Kwa niaba ya kamati ya maandalizi ikiongozwa na Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa na wizara za kisekta, maandalizi yote yamekamilika. Milango ya uwanja wa Jamhuri itakuwa wazi kuanzia saa 11 alfajiri”

Kuhusu ulinzi na usalama, alisema kuwa vimeimarishwa na kuwaomba wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi sana kumpokea na kumshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akiongelea tahadhari ya ugonjwa wa Uviko-19, alisema kuwa tahadhari ya UVIKO -19 imezingatiwa. Barakoa zitakuwepo na wananchi watapatiwa pamoja na vitakasa mikono vitakuwepo.

Sensa ya watu na makazi mwaka 2021 inaongozwa na kaulimbiu isemayo “Sensa kwa maendeleo, jiandae kuhesabiwa”.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.