• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Watoto 65 wapata tiba ya moyo JKCI

Imewekwa tarehe: September 18th, 2020

SHIRIKA lisilo la kiserikali la Israel Microsoft kutoka Irael kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), limewasaidia kwa kuwapa tiba watoto 65 wenye maradhi ya moyo nchini.

Kwa mujibu wa Kiongozi wa Maendeleo ya Biashara, Microsoft 4Afrika, Gustavo Raiter, nchini Tanzania, shirika hilo limekuwa likifanya kazi kwa mifumo ya aina mbili katika utambuzi, matibabu na uponyaji wa watoto ambao walipatiwa matibabu katika taasisi ya JKCI.

“Kwa upande wa matibabu, Mradi wa ‘Save a Child’s Heart’ (SACH) umekuwa ukituma madaktari wa upasuaji, wauguzi, anesthesia, madaktari wa kawaida na perfusionists JKCI kwa miezi kadhaa ili kutoa msaada wa tiba kwa watoto wenye uhitaji zaidi,” alisema Raiter.

Alisema SACH pia hutoa nafasi za masomo kwa wauguzi, wapasuaji, anesthesia, madaktari na perfusionists kutoka JKCI kwenda Israel kwa ajili ya masomo zaidi.

Kupitia ushirikiano huo, alieleza kuwa SACH na Kituo cha Tiba cha Wolfson walitambua kuwa, kuna fursa ya kuunda mifumo mipya ya kutumia teknolojia ili kuisaidaia JKCI.

Mradi wa SACH umetoa tiba dhidi maradhi ya moyo kwa watoto zaidi ya 5,000 katika mataifa 60 Afrika, Asia, Mashariki na Kati, Mashariki mwa Ulaya na Bara la Amerika.

Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa Mohamed Janabi alisema watalaamu wa upasuaji wa taasisi hiyo wamekuwa wakiwasiliana mara kwa mara na wenzao wa Israel kupata ushauri.

“Tunafurahi kuwa ushirikiano huu na SACH na Microsoft utawezesha utambuzi sahihi kwa kutumia zana mbalimbali za kidigitali na kuleta manufaa kwa watoto walio nchini kwetu. Tunaingia kwa ujasiri katika ushirikiano huu wa kimatibabu na tunatarajia kuwa mstari wa mbele kufanikisha ubunifu huu,” alisema.

Kwa mujibu wa Ripoti ya Journal Frontiers kuhusu maradhi ya moyo, watoto takribani 500,000 Afrika huzaliwa na maradhi ya moyo kila mwaka huku idadi kubwa ikiwa ni waishio nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.