• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Watumishi wa Afya kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora

Imewekwa tarehe: November 17th, 2022

WATUMISHI wa Wizara ya Afya wanao wajibu wa kuwezesha jukumu kuu la kuhakikisha na kuwezesha wananchi wanapata huduma bora za afya kote nchini kwa kuhakikisha kila mmoja
katika nafasi yake anafanya jukumu lake kwa ufanisi.

Hayo yamesemwa leo na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbanga wakati wa kufungua mafunzo ya huduma kwa mteja (Customer Care) kwa watumishi wa Wizara ya Afya Makao Makuu yanayoendelea kufanyika Jijini Dodoma.

Mbanga amesema kuwa wananchi wote wanaofika kwenye ofisi za wizara wanatakiwa kupata huduma zinazostahili na kwa wakati bila kukwamisha mfumo wa ufanyaji kazi wa kuwahudumia wananchi.

"Yapo mambo madogo madogo ambayo yanatufanya tuonekane hatuna huduma nzuri kwa wateja, tunapaswa kuwahudumia wananchi wanaofika kwenye ofisi zetu kwani tumeajiriwa kwa ajili ya wateja hao." Amesema Mbanga

Aidha, amewataka watumishi hao kufanya kazi bila kinyongo ama kuwakasirikia wananchi wanaofika kwenye dawati lao kanakwamba wapo kwenye biashara zao binafsi na kuonesha wapo hapo kuwahudumia wao wateja wanaokuja.

Ameongeza kuwa itakapofika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote, idadi ya watu wanaoenda kutafuta huduma za afya zitaongezeka kwa sababu kutakuwa na uhakika wa matibabu hivyo inahitaji mkakati mkubwa wa kuboresha huduma kwa mteja katika utoaji huduma za afya kote nchini

"Jiulize wakati ulipoaga unayemuacha nyumbani asubuhi kwamba unaenda kazini hivyo tuwaheshimu wanaokuja katika maeneo tunayofanyia kazi ili tudhihirishe kweli tupo kazini". Alisisitiza Mbanga

Pia, Mbanga aliwataka watumishi hao kutekeleza kwa vitendo yale yote watakayoyapata kupitia mafunzo hayo na hivyo kuwa na dhamira ya kuboresha namna wanavyowahudumia wateja wao.

Naye, Mkurugenzi wa Utawala na Rasiliamali Watu, Wizara ya Afya Deodhata Makani amesema mafunzo hayo ni muhimu kwa watumishi hao na kuwataka kuzingatia utoaji wa huduma bora kwa wateja wanaofika wizarani na kuongeza kuwa mafunzo hayo yameanza kwa watumishi wa makao mkauu na yatashuka hadi kwa watumishi wengine wa wizara hiyo.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.