• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri Dkt. Gwajima apongeza hatua nzuri za ujenzi wa miradi ya elimu Kaliua- Tabora

Imewekwa tarehe: January 5th, 2025

Na WMJJWM
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameipongeza Serikali ya Mkoa wa Tabora kwa hatua nzuri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu ya elimu wilayani Kaliua.

Dkt. Gwajima alitoa pongezi hizo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Ulyankulu katika ziara yake ya kikazi mkoani Tabora Januari 9, 2025, mara baada ya kukagua na kuweka mawe ya msingi kwenye ujenzi wa miradi ya elimu ikiwemo miradi ya ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi Langoni yenye thamani ya Shilingi milioni 361.5 kupitia Programu ya BOOST unakihusisha ujenzi wa madarasa tisa (9) na matundu kumi (10) ya choo.

Aidha, aliweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa mabweni manne (4) ya wasichana na matundu kumi (10) ya vyoo katika Shule ya Sekondari Mkindo, mradi ambao umegharimu Shilingi milioni 136.

“Naomba kutumia fursa hii kuipongeza Serikali ya Mkoa wa Tabora kwa kusimamia ipasavyo miradi ya ujenzi wa miundombinu ya elimu. Nimekagua na kujionea hatua kubwa zilizofikiwa, na kilichonifurahisha zaidi ni kuona fedha shilingi bilioni 186.56 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya elimu mkoani Tabora zinatumika vizuri. nawapongeza sana,” amesema Dkt. Gwajima.

Pia, Waziri Gwajima aliwahimiza wananchi wa Ulyankulu kuchangamkia fursa za kiuchumi, ikiwa ni pamoja na wafanyabiashara ndogondogo kujisajili na kupata vitambulisho vya kidijitali vitakavyowawezesha kunufaika na mikopo kupitia Benki ya NMB

Aidha Dkt. Gwajima amesisitiza umuhimu wa wazazi na walezi na kuhakikisha malezi bora na kulinda watoto dhidi ya ukatili wa kijinsia.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Mhe. Paul Matiko Chacha, ameeleza kuwa kukamilika kwa miradi hiyo ya elimu kutasaidia kuondoa changamoto ya watoto kutembea umbali mrefu kwenda shule. Pia amesisitiza umuhimu wa wazazi kuhakikisha watoto wa umri wa shule wanapata elimu.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Mhe. Dkt. Gerald Mongela, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutenga fedha za kujenga miundombinu ya elimu. Amebainisha

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.