• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri Kairuki ataka uzingatiaji fedha za miradi ya SEQUIP

Imewekwa tarehe: February 24th, 2023

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amesisitiza uzingatiaji sahihi wa fedha Sh milioni 600 zinazoelekezwa kwenye miradi ya Mpango wa Kuboresha Elimu ya Sekondari(SEQUIP).

Kairuki ameyasema hayo wakati wa kukagua eneo la ujenzi wa shule ya Kitunda Relini mkoani Dar es Salaam.

Amesema kumekuwapo na sintofahamu ya matumizi ya fedha hizo huku wengine wakitumia fedha hizo nje ya mwongozo katika kujenga shule hizo.

“ Kumekuwa na changamoto kubwa kwenye maeneo mengi ambapo wakiambiwa wamepatiwa kiasi cha shilingi milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa shule wanajua kuwa ni ujenzi wa miundombinu ya awali tu hivyo wanajikuta wanazitumia hovyo na baadaye hazimalizi ujenzi na wanadai kuongezewa fedha nyingine, suala hili haliwezekani kwa kuwa tunaamini zinatosha kukamilisha ujenzi huo.”Amesema Waziri Kairuki

Kairuki amesema kati ya Sh milioni 600 zinazotolewa, Sh milioni 470 zinapaswa kutumika katika ujenzi wa shule kwa kujenga madarasa 8 ya awali, jengo la TEHAMA, jengo la utawala, maktaba, maabara ya fizikia, kemia na biolojia na matundu ya vyoo vya kawaida.

Amesema baada ya kukamilika kwa miundombinu hiyo, Sh milioni 130 zitatumika kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya walimu na Sh milioni 30 kwa ajili ya vifaa vya TEHAMA.

Aidha, Kairuki amewaagiza wahandisi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanasimamia maelekezo hayo ipasavyo na kuwataka wakadiriaji majengo kufanya ukadiliaji ipasavyo.

“Kuna maeneo mengine viwanda vipo karibu vya saruji, nondo hivyo sitarajii kusikia kuwa shilingi milioni 470 hazitoshi rai yangu ni kuhakikisha wanazisimamia ipasavyo ili ujenzi ukamilike kwa gharama hiyo, tunajua fedha hizo zitatosha kwa mujibu wa wataalam,”amesisita Waziri Kairuki

Pia amewaagiza viongozi wote kuanzia ngazi ya Mkoa kuhakikisha wanasimamia kikamilifu ujenzi wa shule hizo ili kutimiza lengo la serikali la kuboresha elimu, kuwapunguzia watoto kutembea umbali mrefu, kuondoa vikwazo kwa watoto kupata elimu na kuhakikisha watoto wa kitanzania wanamaliza masomo yao ya elimu ya sekondari.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.