• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri Mchengerwa avitaka vyama vya siasa kuwahamasisha wananchi kugombea nafasi za uongozi

Imewekwa tarehe: October 22nd, 2024

Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amevitaka vyama vya siasa nchini kuhamasisha wanachama wao kujitokeza na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ili wananchi waweze kuwa na uwanja mpana wa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwenye maeneo yao.

Waziri Mchengerwa ametoa wito huo jana kwa vyama vya siasa wakati akitoa takwimu za wananchi waliojiandisha kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya TAMISEMI jijini Dar es Salaam.

Mhe. Mchengerwa amevishukuru vyama vya siasa kwa kuendeleza ushirikiano, amani na utulivu wakati mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ukiendelea.

“Nitoe rai kwa vyama vyote vya siasa kuendelea kuwasihi wanachama wao kudumisha amani na utulivu ikiwa ni pamoja na kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ili kulinda amani, utulivu na ustawi wa nchi yetu,” Mhe. Mchengerwa amesisitiza.

Aidha, Mhe. Mchengerwa amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa kuna na amani na utulivu wakati mchakato wa uchaguzi ukiendelea ili wananchi wote waweze kushiriki uchaguzi kwa amani na utulivu.

Sanjari na hilo, Mhe. Mchengerwa amewasisitiza wasimamizi wa uchaguzi na wadau wote wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria na kanuni za uchaguzi ili mchakato uwe wa huru na wa haki na hatimaye wananchi wote wenye sifa waweze kushiriki.

“Hakikisheni wagombea wote wanahudumiwa vizuri wakati wa zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu na hakikisheni vyama vyote vimepata maelekezo sahihi kuhusu uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kugombea nafasi za uongozi,” Mhe. Mchengerewa amehimiza.

Novemba 27, 2024 ndio siku ambayo watanzania 31,282,331 waliojiandikisha watapata fursa ya kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa nchini.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.