WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 10, 2023 amezindua huduma za upandikizaji wa Uloto katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma
Huduma hii itasaidia kupona kwa wagonjwa wenye Selimundu (Sickle Cell Anemia) na mpaka sasa wagonjwa watatu wametibiwa na wamepona kabisa.
Tanzania inakuwa moja kati ya nchi saba zinazotoa hudumia hiyo barani Afrika.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.