• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri Silaa apania kumaliza migogoro ya ardhi

Imewekwa tarehe: November 6th, 2023

Na. Mwandishi wetu, DODOMA

Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema Wizara yake itahakikisha kero zote za migogoro ya ardhi zinakwisha katika Jijini la Dodoma ikiwa ni hatua muhimu ya utekelezaji   rasmi maagizo ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Akiongea na wananchi waliofika katika Kliniki ya Ardhi mapema leo tarehe 06/11/2023 Waziri Silaa alisema kuwa lengo la kuweka kambi katika Ofisi ya Kamshina Msaidizi wa Ardhi wa Jiji la Dodoma ni kuhakikisha wanawahudumia wananchi ipasavyo.

Waziri Silaa aliwaaambia wananchi waliofika kupata huduma katika kliniki hiyo kuwa atakuwa akifanya nao mazungumzo kila baada ya kumaliza ratiba ya bunge ili kujionea mwenyewe kero zinazowakabili wananchi hao.

Foime Yohana alitoa dukuduku lake kwa Waziri Silaa baada ya kuwa na kero ya muda mrefu ya kuvamiwa na kuchukuliwa eneo lake nakuomba Waziri huyo kusaidia ili aweze kupata haki yake.

Akiongea na vyombo vya habari wakati zoezi la kuhudumia wananchi likiendelea Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga alisema kuwa Kliniki ya Ardhi inayoendelea kwa wiki mbili jijini Dodoma, itakuwa mwarobaini wa changamoto nyingi za ardhi zinazowakabili wananchi wengi wa jiji hilo.

Mhandisi Sanga alisema kuwa baada ya kupokea maagizo ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi tayari ameanza kuyafanyia kazi yeye pamoja na watendaji wa Ardhi ikiwa ni kutatua changamoto za Ardhi zinazowakabili wananchi pamoja na ugawaji wa hatimiliki za Ardhi.

Katika hatua nyingine, Katibu Mkuu alisema kuwa Jiji la Dodoma ndio lenye changamoto nyingi za mgogoro ya Ardhi na wizara  imejipanga kikamilifu kwa kupiga kambi ya wiki mbili ili kuhakikisha changamoto zote za Ardhi Mkoa wa Dodoma zinapatiwa ufumbuzi kwa wakati ili wananchi wapate haki zao.

“Kliniki ya Ardhi kwa sasa iko Dodoma na niendelevu kwa mikoa yote, pia Wizara inakusudia kuweka mifumo rahisi ya kutoa huduma kwa wananchi ikiwemo kufunga kamera katika ofisi za utoaji huduma ili kuepuka mianya ya ukiukwaji wa sheria” alisema Mhandisi Sanga.

Katika hatua nyingine Katibu Mkuu huyo alibainisha kuwa mchakato wa kuanzisha kwa Program tumishi yaani Ardhi App ili kurahisha wananchi kupata huduma popote pale nchini kwa njia ya mtandao ikiwemo huduma ya ulipaji wa pango ya Ardhi.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.