• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri Ummy ahimiza mazingira safi, salama na endelevu katika kuijenga Tanzania ya viwanda

Imewekwa tarehe: December 18th, 2020

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu amesema mazingira safi, salama na endelevu ni sehemu muhimu ya kuijenga Tanzania ya Viwanda.

Hayo ameyasema hii leo Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa eneo la mradi wa upandaji miti na  kuhifadhi mazingira katika eneo la medeli lenye ukubwa wa  hekta 9 ambapo takribani miti 4,330 imepandwa katika eneo hilo.

Amesema, jitihada zilizofanywa na kampuni ya Vodacom na WWF ni mwendelezo wa juhudi za Serikali katika kutekeleza azma ya agizo la Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alilolitoa mwaka 2017 katika uzinduzi wa kampeni ya Kijanisha Dodoma.

“Kuna uhitaji mkubwa wa kuboresha Mazingira ya mkoa wa Dodoma kwa kuotesha miti kwa wingi; kuhakikisha inakua na kuhifadhi Mazingira yetu, hivyo nitoe rai kwa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Ofisi ya Makamu wa Rais, Wizara ya Maliasili na Utalii, Asasi za Kiraia, sekta binafsi na washirika wa maendeleo kutathmini utekelezaji wa mkakati wa kupanda na kutunza miti wa mwaka 2016 -2021” alisisitiza Mhe. Ummy.

Amesema ili kampeni ya kijanisha Dodoma ifanikiwe ni jukumu la kila mwana Dodoma na wadau kupanda miti kwenye maeneo mbalimbali kwa lengo la kuboresha Mazingira ya Dodoma.

“Kwa kuwa niña dhamana ya Kusimamia masuala ya Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira, nitoe pongezi za dhati kwa Kampuni ya Vodacom; WWF na Jiji la Dodoma kwa juhudi mlizoonesha katika kusimamia utekelezaji wa mradi huu wa upandaji miti ambao ni muhimu kwa ustawi wa kizazi cha sasa na kijacho” Mhe. Ummy alisisitiza.

Kwa upande mwingine Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Prof. Davis Mwamfupe ametoa rai kwa watanzania kubadili dhana ya kupanda miti na kuwa kuamua kustawisha miti huku akitoa rai ya kuanzishwa kwa mashindano ya upandaji miti mashuleni.

Kampuni ya simu ya Vodacom kwa kushirikiana na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira (WWF) na Jiji la Dodoma wameuunga mkono jitihada za Serikali za kupambana na athari za mabadiliko ya Tabianchi kwa kutekeleza mradi wa upandaji miti katika eneo la Medeli na maeneo mengine Jijini Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akizindua jiwe la Utambulisho wa eneo la Msitu wa Jiji – Medeli lenye ukubwa wa  hekta 9 ambapo takribani miti 4,330 imepanda katika eneo hilo, jijini Dodoma. Wengine katika picha ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Davis Mwamfupe.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akipanda mti katika eneo la Msitu wa Jiji - Medeli jijini Dodoma mara baada ya kuzindua eneo hilo. Kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Davis Mwamfupe.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Shule mbalimbali, wawakilishi Ofisi za Jiji na Wakala wa Misitu Tanzania mara baada ya kuzindua jiwe la Utambulisho wa eneo la Msitu wa Jiji - Medeli jijini Dodoma kwa kushirikiana na Kampuni ya Vodacom; WWF na Jiji la Dodoma.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.