• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Waziri wa Afya azindua Samia Mobile Surgical Theatre Camps

Imewekwa tarehe: September 19th, 2024

Na Carine Senguji, Dodoma

HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) inaanza kutoa huduma ya upasuaji wa Ubingwa wa juu hata kwa wananchi waliopo Mikoa ga pembezoni baada kuzinduliwa kwa Samia Mobile Surgical Camp inayotumia Magari yenye vyumba vya Upasuaji, Ijumaa iliyopita.

Samia Mobile Surgical Camp inawezeshwa na magari maalumu yenye Teknolojia ya kisasa ya vyumba vya upasuaji, Wodi, vyumba vya kulala Watalaamu, umeme wa jua na mtambo wa kusafisha maji yaliyotolewa na Shirika la kujitolewa la SOTAC kutoka Uholanzi kwa ushirikiano wa BMH, ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi, na Wizara ya Afya.

Akizundua magari hayo Ijumaa iliyopita, Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama, amesema magari hayo maalumu yanadhihirisha dhamira aliyonayo Rais Samia kufikisha huduma za kibingwa na ubingwa wa juu kwa wananchi waliopo pembezoni mwa nchi na jinsi ambavyo Mheshimiwa Rais amefungua Diplomasia ya Kimataifa na hata kugusa eneo la huduma za Afya .

"Magari haya yatawawezesha Madkatari Bingwa wetu kuwafikia wananchi wengi zaidi kwa kufanya huduma ya upasuaji sehemu mbalimbali za nchi," amesema Waziri wa Afya wakati wa uzinduzi ambapo pia alipongeza sana ubunifu huu uliofanywa na Menejimenti BMH kwa kushirikiana na Balozi Chipeta nchini Uholanzi.

Mkurugenzi Mtendaji wa BMH, Prof Abel Makubi, amesema takribani wananchi 8000 wa sehemu mbalimbali za nchi watafikiwa kupitia huduma hiyo ya kliniki tembezi.

"Kupitia magari haya tutaweza kufanya huduma za upasuaji sehemu mbalimbali za nchi ikiwemo Pemba na Unguja, Wilaya za Dodoma, Kigoma na nchi ya jirani ya Burundi (ambapo tiba utalii itakuwa sehemu ya huduma hiyo) amesema Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali.

Kwa upande wake, mwakilishi wa SOTAC, Bi Suzanne Hols, ameshukuru ushirikiano kati ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) na Shirika la SOTAC.

"Ushirikiano wetu na Hospitali ya Benjamin Mkapa ni mkubwa sana. Tuna miundombinu ya kuwawezesha kutoa huduma sehemu ambayo ni mbali na BMH. Tunadhamiria kuendelea kufanya kazi pamoja na BMH," alihitimisha Bi Suzanne.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.