HAKIMU Mkazi Dodoma, Theresia Kiwango akiwaapisha Viongozi wa mitaa(Wenyeviti na Wajumbe) Leo hii tarehe 28 Novemba, 2024.
Uapisho huo umefanyika katika ukumbi wa Umonga Sekondari ambapo viongozi wameapa kiapo cha kutunza siri za Serikali na kiapo cha Uadilifu
Viongozi walioapishwa nikutoka Tarafa ya Dodoma mjini Tarafa inayojumuisha Kata 23.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.