• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Zao la Nyanyachungu na Bilinganya linafaida kwa jamii

Imewekwa tarehe: August 10th, 2025

Na. Rehema Kiyumbi, DODOMA

Afisa Kilimo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Nkunde Kimweri   ametoa elimu kuhusiana na zao la nyanyachungu na bilinganya kwa kuanisha uandaaji, matumizi sahihi ya mbolea na matumizi ya dawa ya kudhibiti wadudu wanaoathiri zao hilo kwa lengo la kukuza uchumi kwa wafanyabiashara na matumizi ya nyumbani.

Akizungumza na mwanahabari katika vipando vya Halmashauri ya Jiji la Dodoma alisema kuwa kuna umuhimu mkubwa wa mazao hayo hasa kwa wafanyabiashara. “Tulianza kwa kuandaa shamba la zao la bilinganya aina ya ‘black beauty’ na nyanyachungu aina ya ‘tengeru white’ kwa umbali wa sentimita 60 kwa sentimita 60 ili kuwezesha mmea kuweza kujitanua na kukua kwa uhuru na tulitumia mbolea kutoka Kampuni ya Yara ambapo ni Yara oteshi, na Yara kuzia wakati wa kukuzia mmea wetu na tukatumia dawa viwatilifu kwa kuulia wadudu wanaoshambulia kwa kasi sana zao hili,” alisema Kimweri.   

Naye, msimamizi wa bustani Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Milton Edward alitoa elimu ya zao la nyanyachungu na bilinganya na kuwashauri vijana wasomi walioko mitaani wanaochukulia kilimo kuwa ni   kazi isiyowafaa. “Niko mbele yenu kuwashauri vijana wenzangu hasa wasomi ambao wapo mitaani wakisubiri ajira baada ya masomo yao wajikite katika kilimo ambacho kimegeuka kuwa fursa na kusaidia kujipatia kipato cha kila siku. Pia, husaidia upatikanaji wa mbogamboga ili kujipunguzia maradhi yasiyo ya lazima,” alieleza Edward.


Kwa upande wake, Elizabeth Marko mkazi wa machinga ambaye ni mmoja wa watumiaji wa zao la nyanyachungu na bilinganya alieleza jinsi anavyonufaika na zao hili katika matumizi ya familia kama mboga na biashara. “Natumia nyanyachungu na bilinganya kama mboga kwa familia yangu kwa sababu ni mboga rahisi kupika, haziharibiki haraka na ni rahisi kuhifadhi kwenye friji kwa matumizi ya baadae, lakini pia binafsi ninakibanda cha mbogamboga hizi zinazopendwa na watu wengi na ninawauzia kwa bei nzuri kwa ajili ya kuinua kipato changu,” alimalizia Marko. 

MWISHO  




Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.