Imewekwa tarehe: June 14th, 2023
Na. Dennis Gondwe, MNADANI
WAZAZI na walezi wametakiwa kufuatilia maendeleo ya watoto wao katika masomo kila siku ili kufahamu tabia na mienendo ya watoto wao.
Kauli hiyo ilitolewa na Diwan...
Imewekwa tarehe: June 13th, 2023
Na. Dennis Gondwe, MBABALA
WANAFUNZI wa Kata ya Mbabala katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kulindana dhidi ya ukatili wa kijinsia unaotendeka katika maeneo yao.
Kauli hiyo ilit...
Imewekwa tarehe: June 12th, 2023
Na. Dennis Gondwe, KIKOMBO
WANAWAKE wametakiwa kuacha ukatili wa kimwili kwa watoto badala yake wawalee katika maadili mema na kumjua Mungu.
Kauli hiyo ilitolewa na Diwani wa Viti Maalum Halmash...