Imewekwa tarehe: November 29th, 2024
Wakazi wa Mtaa wa Chang'ombe, Kata ya Ihumwa wajitokeza mapema kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo katika Kituo cha Shule ya Msingi Msuguri
...
Imewekwa tarehe: November 28th, 2024
Na. Coletha Charles, DODOMA
Mtaa wa mkonongo kata ya kizota wametangaza matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa ambapo chama cha mapinduzi (CCM) Kimeibuka kidede kwa ushindi wa mwenyekiti wa mtaa ...