Imewekwa tarehe: August 7th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
ASMA Said Karama amechaguliwa kwa asilimia 100 kuwa Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika Mkutano wa Mwaka wa Baraza la Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa ...
Imewekwa tarehe: August 6th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
CHEMS farm imedhamiria kuzalisha madume bora ya mbuzi aina ya Boha ili kuwasaidia wafugaji kuboresha mifugo yao ya asili katika kanda ya kati.
Kauli hiyo ilitolewa na M...
Imewekwa tarehe: August 4th, 2023
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeanzisha teknolojia ya nishati mbadala ili kuondoa matumizi ya kuni na mkaa kwa wakazi wa mikoa ya kanda ya kati.
Kauli hiyo ilitolewa n...