Imewekwa tarehe: October 7th, 2022
NAIBU WAZIRI wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola ambao umeripotiwa hivi karibuni katika Nchi jirani ya Uganda.
Dkt. Molle...
Imewekwa tarehe: October 5th, 2022
WAZIRI wa Afya ,Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee kuchukua tahadhari za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo.
Waziri Ummy ameyasema ha...
Imewekwa tarehe: October 4th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule ametuma salamu za Mkoa kwa wanafunzi wote wa Darasa la Saba wa mkoani Dodoma wanaotarajiwa kufanya mtihani wao wa taifa wa kuhitimu elimu ya msingi hapo...