Imewekwa tarehe: January 29th, 2025
Na. Mussa Richard, DODOMA
Timu ya Mpira wa Miguu ya Elimu Kombaini imeishushia kipigo cha mbwa mwizi Timu ya Mpira wa Miguu ya Sheria ndogo FC baada ya kuichabanga mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa...
Imewekwa tarehe: January 29th, 2025
Na. Shahanazi Subeti, DODOMA
Mtakwimu wa Jiji la Dodoma, William Mdoya ameibuka mshindi katika Mchezo wa Drafti baada ya kumfunga Afisa Michezo, Peter Ititi kwa jumla ya mabao 2-1 ambapo mchezo huo...
Imewekwa tarehe: January 28th, 2025
Na. Faraja Mbise, DODOMA
Watumishi mbalimbali wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kufanya kazi kwa mshikamano katika kutoa huduma zao kwa jamii ili kuweza kuiinua halmashari izidi kupanda k...