Imewekwa tarehe: November 17th, 2022
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu ameelekeza magari yote ya wagonjwa nchini yaliyotolewa na Serikali yanakatiwa Bima ya ajali ili iweze kusaidia katika matengenezo pale yanapopata ajali au kuharibika...
Imewekwa tarehe: November 16th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuhakikisha kuwa linachambua na kupitia kwa umakini wawekezaji watakaoleta maombi ya ujenzi wa miradi ya ubia na Shirika hilo ili...
Imewekwa tarehe: November 16th, 2022
Na. Catherine Sungura, WAF-Dodoma
UDHIBITI wa usafi binafsi na usafi wa mazingira unasaidia kupunguza asilimia sabini (70) ya magonjwa ya milipuko yanayotokana na uchafu ikiwemo Kipindupindu.
...