Imewekwa tarehe: November 30th, 2022
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Vyuo Vikuu kupitia mitaala yake ili ijikite katika kutoa elimu ambayo inakidhi mahitaji ya jamii.
Rais Samia ameto...
Imewekwa tarehe: November 29th, 2022
NAIBU WAZIRI wa Kilimo Mh. Anthony Mavunde amepongeza zoezi la sensa ya watu na makazi mwaka 2022 kwa kutoa takwimu za idadi ya wakulima katika maeneo mbalimbali kuanzia ngazi ya kitongoji na hivyo ku...
Imewekwa tarehe: November 29th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri nchini kuongeza umakini katika manunuzi ya vifaa vinavyotumika katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ili iweze kukamilika katika...