Imewekwa tarehe: November 8th, 2022
MGANGA Mkuu wa Manispaa ya Musoma Dkt. Mustafa Waziri amesema kituo cha Afya Makoko kimefanikiwa kufanya upasuaji kwa mara ya kwanza leo Novemba 8, 2022.
"Upasuaji umefanyika kwa dakika 50 kuanzia ...
Imewekwa tarehe: November 8th, 2022
KATIKA mwaka wa fedha 2021/2022 Serikali kupitia Wakara wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) ilitenga shilling milioni 622.52 kwa ajili ya ujenzi wa barabara yenye urefu wa mita 45 na upana wa m...
Imewekwa tarehe: November 8th, 2022
SERIKALI Kupitia Wizara ya afya inaelekea kukidhi kiu ya Wananchi wa Mkoa wa Iringa kwa kupeleka kusoma jumla ya madaktari 12 watakaotoa huduma katika fani mbalimbali katika hospitali ya Rufaa ya...