Imewekwa tarehe: November 7th, 2022
ZAIDI ya robo tatu ya watu wenye Magonjwa Yasiyoambukiza hususani Kisukari na shinikizo la damu hawajitambui kama wana magonjwa hayo endapo hawakwenda kupima katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
...
Imewekwa tarehe: November 7th, 2022
JUMLA ya kompyuta mpakato (Laptop) 287 zimetolewa na shirika la CAMFED (Campaign for women Education) kwa ajili ya wanafunzi wa kike 287 wa kozi ya Stashahada ya Uuguzi na Ukunga.
Akipokea kompyuta...
Imewekwa tarehe: November 7th, 2022
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amefanya kikao na Mwenyekiti Mwenza wa Washirika wa Maendeleo nchini, Zlatan Milisic, kuhusu ushirikiano wa maendeleo na maandalizi ya mkutano k...