Imewekwa tarehe: October 13th, 2022
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa Dodoma leo Oktoba 13, 2022 imetimiza miaka saba tangu ilipoanza kutoa huduma za afya Oktoba 13, 2015.
Mkurugenzi Mtendaji, Dkt. Alphonce Chandika amewajengea uwelewa j...
Imewekwa tarehe: October 12th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini ziendelee kutekeleza agizo la Serikali la kutenga maeneo rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki shughuli za uzalishaji mali ili kuwaepu...
Imewekwa tarehe: October 10th, 2022
MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kwa kushirikiana na wananchi imepongezwa kwa kufanikiwa kutatua kero ya maji katika eneo la Nzuguni jijini Dodoma.
Diwani wa Kata ya Nzugun...