Imewekwa tarehe: November 24th, 2024
Na. Faraja Mbise, DODOMA
Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameaswa kuviishi viapo vyao walivyoapa ili wawe na muongozo mzuri pindi watakapokuwa katika vituo...
Imewekwa tarehe: November 23rd, 2024
Na. Faraja Mbise, DODOMA
Vyama vya siasa katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma vimepongezwa kwa kuonesha ushirikiano mkubwa kuanzia mchakato wa uandikishaji wa orodha ya wapiga kura katika Uchaguzi ...
Imewekwa tarehe: November 22nd, 2024
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
VIONGOZI wa vyama vya siasa katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kufanya kampeni za kistaarabu ili Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kufanyika kwa amani na utulivu....