Imewekwa tarehe: September 13th, 2022
RAIS Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto leo tarehe 13 Septemba, 2022 ameapishwa kuwa Rais wa tano wa nchi hiyo baada ya Rais Uhuru Kenyatta kumaliza muda wake wa kutawala taifa hilo la Afrika Masharik...
Imewekwa tarehe: September 12th, 2022
WAZIRI wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo tarehe 12 Septemba, 2022 ametembelea ujenzi wa jengo la Ofisi za wizara ya Afya unaoendelea katika Mji wa Serikali - Mtumba Jijini Dodoma.
Katika ziara hi...
Imewekwa tarehe: September 12th, 2022
Na. Josephine Kayugwa, DODOMA
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri amesema wanafunzi wanahitaji kusaidiwa kipindi cha mitihani kwa kuwa watulivu na kufundishwa uzalendo wakiwa shuleni kwa len...