Imewekwa tarehe: October 2nd, 2024
Na. Asteria Frank, DODOMA
Wizara ya mifugo kushirikiana Halmashauri ya jiji la Dodoma wameadhimisha siku ya kichaa cha mbwa duniani kwa lengo la kuelimisha juu ya udhibiti wa ugonjwa wa kichaa cha ...
Imewekwa tarehe: October 1st, 2024
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amekagua na kuzindua ukarabati wa Miundombinu kisha kufungua Hospitali ya Shunga Misheni iliyopandishwa hadhi ...
Imewekwa tarehe: September 30th, 2024
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wote wenye sifa kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga kura wa Serikali za Mitaa utakaofanyika nchi nzima Oktoba...